Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Mwanadamu yoyote hukosea chini ya jua Kuna waziri alishindwa kiapo mbele ya rais jpm makosa tumeumbiwa wanadamu
 
Bwana asifiwe kwako ndugu, sina connection ila nachoweza kukuambia nikwamba kila siku kila saa ukiweza zungumza maneno haya bila kuchoka ua kukata tamaa kimoyo moyo..

Hakikisha kabla hujalala unayazungumza na pia wakati umeamka kitu cha kwanza kukifikiria ni haya maneno

"NINA KAZI KUBWA YENYE MSHAHARA MKUBWA"
Mkuu naomba tupe elimu ya kufahamu hizi affirmation huwa zinafanyaje kazi. Kwa upande wangu huwa sielewi ni namna gani affirmation zinaleta kile kitu unachokitaka.
 
Mkuu naomba tupe elimu ya kufahamu hizi affirmation huwa zinafanyaje kazi. Kwa upande wangu huwa sielewi ni namna gani affirmation zinaleta kile kitu unachokitaka.
Mimi bado ni mwanafunzi, na nazidi kujifunza zaidi... Dunia hii hakuna kinachoshindikana kama ukijua kanuni ilivyo na inavyofanya kazi.. labda nikupe kitabu chakusoma huko utapata mambo mengi zaidi ya hili uliloliuliza...
 
Attachments

Mkuu naomba tupe elimu ya kufahamu hizi affirmation huwa zinafanyaje kazi. Kwa upande wangu huwa sielewi ni namna gani affirmation zinaleta kile kitu unachokitaka.
Kinachofanyika ni kuiaminisha SUBCONSCIOUS MIND yako kwamba hali halisi ni hiyo(unayoitamka), maana SUBCONSCIOUS MIND haijui hii ni kweli au sio kweli.. so, ni jukumu lako kuiaminisha vile unavyotaka iwe. Then hilo jambo likiaminika kwenye SUBCONSCIOUS MIND ndo linatokea in real life.
#FakeItTillYouMakeIt
 
Bado sijapata naombeni mwenye connection ya kazi yoyote asanteni
 
Mwendeeni taratiiibu mwenzenu,, maybe kavurugwa,, comments znaeza mletea depression
 
Eeh mwenyezi mungu nakuja mbele zako niinulie watu wa kunishika mkono .peke yangu siwezi naja mbele zako.ameni.
 
Bwana asifiwe kwako ndugu, sina connection ila nachoweza kukuambia nikwamba kila siku kila saa ukiweza zungumza maneno haya bila kuchoka ua kukata tamaa kimoyo moyo..

Hakikisha kabla hujalala unayazungumza na pia wakati umeamka kitu cha kwanza kukifikiria ni haya maneno

"NINA KAZI KUBWA YENYE MSHAHARA MKUBWA"
Sawasawa maneno huumba
 
Nakuja kwenu komba kazi au connection ya kazi yoyote au aliye kazi ya usimamia ni mwadilifu na mwaminifu Asante mungu awabariki
Habali wapendwa omba langu bado sijafanikiwa utakae guswa piga namba hii 0615860271 asanteni
 
Back
Top Bottom