Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

Bado sijapata kazi naludia tena naomba msaada wenu hali si hali asante .mwenyezi mungu awaguse kwa hili
 
NINGEKUWA MIMI NDO WEWE THREAD YANGU INGEKUWA HIVI.

KICHWA CHA MADA: NATAKUTA KAZI YOYOTE HALALI.

Habari za wakati huu wapendwa wa Mungu wa jamiiforums.
NImekuja mbele yenu nikiwa mnyenyekevu kuwaomba kwa yoyote anayeweza kuniunganisha nikapata kazi halali itakayoniingizia kipato changu cha kilasiku anisaidie kwa hilo.
Sifa yangu kubwa ni uaminifu na uchapakazi.

KIwango changu cha juu cha elimu ni SHAHADA YA UZAMILI nikijua kusoma na kuandika.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ule Tanzania.

Naomba kuwasilisha.
NATAKUTA???!
 
Bwana asifiwe kwako ndugu, sina connection ila nachoweza kukuambia nikwamba kila siku kila saa ukiweza zungumza maneno haya bila kuchoka ua kukata tamaa kimoyo moyo..

Hakikisha kabla hujalala unayazungumza na pia wakati umeamka kitu cha kwanza kukifikiria ni haya maneno

"NINA KAZI KUBWA YENYE MSHAHARA MKUBWA"
Ua the living testimony
 
Back
Top Bottom