Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,360
- 91,912
🤣🤣🤣🤣🤣 mi simo kwa kweli 🙌🏿Wa kukagua ndungu au??? 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 mi simo kwa kweli 🙌🏿Wa kukagua ndungu au??? 🤣🤣🤣
Ukisoma kwenye bible kuna kipindi wana wa Israel kipindi wapo jangwani hawana chakula Mungu aliwashushia chakula kitamu sana kikiitwa mana kutoka mbinguni, sasa kuna siku jamaa anatueleza kuhusu hio hadithi, kumbe kuna mzee pale kwa kikabila chao mana it means vagina. I think kerewe.Ndungu ni tusi gani tena
Hayo ndo mambo sasa....ila usianze kumsema kama yule wa buku 3....mi nakuogopa mpaka sasa🥴Kama upo mererani Arusha njoo pm Iko wazi njoo tuongee
🤣🤣🤣🤣🤣Ukisoma kwenye bible kuna kipindi wana wa Israel kipindi wapo jangwani hawana chakula Mungu aliwashushia chakula kitamu sana kikiitwa mana kutoka mbinguni, sasa kuna siku jamaa anatueleza kuhusu hio hadithi, kumbe kuna mzee pale kwa kikabila chao mana it means vagina. I think kerewe.
Yule mzee aliongea kwa hasira sana "acheni kuongea matusi shenzi".
Aliyekuwa akirejea kwenye biblia alikuwa anaisifia mana balaa, yaani utasema alishaila🤣
Mapumbu kinyakyusa....kwahiyo connection? Seriously![]()

Kweli kabisa hata mimi Utadhani nimewa sikia kwa kinyaki 

Yeah...ni kende mkuuKweli kabisa hata mimi Utadhani nimewa sikia kwa kinyaki
![]()
Unajua kila jina unalotumia linakuwa na taswira tofauti ya kiungo husika.Yeah...ni kende mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿Unajua kila jina unalotumia linakuwa na taswira tofauti ya kiungo husika.
Pumbu ni la kawaida halina mambo mengi fikirishi.
Korodani imekaa kitabibu.
Kende sasa, ni lile lenye vuzi lililobadilika rangi kwa nongo na lina layers za uchafu kama nta🤣🤣🤣
Ameshavurugwa na maisha, muda si mrefu tutampoteza!!Mpeni kazi kaka wa watu jaman....mmesoma heading yake? Kichwa hakijakaa poa Kabisa
Hapana,atakaa Sawa..atafanikiwaAmeshavurugwa na maisha, muda si mrefu tutampoteza!!
Kwahiyo nyie mnaompa kazi ndio mapmb au? Nimelia sanaMapumbu kinyakyusa....kwahiyo connection? Seriously 😒
Anagawa mara mbili kg 50 50 😆Kukimbia na mzigo wa kilo 100 begani kwenye giza unaweza?
🤣🤣🤣inasikitisha sana aisee 😭Kwahiyo nyie mnaompa kazi ndio mapmb au? Nimelia sana