Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,093
- 22,806
Eneo gani yaani mbona haupo specific na maswali ni direct na mepesi kabisa?!Najua kutumia computer
Hata mimi najua kutumia computer kwenye shughuli kama kuburn CD, kucheki movie, kuandika barua na nyaraka mbali mbali, kucheza gemu na kadhalika.