Natafuta kazi yoyote

Natafuta kazi yoyote

"Natafuta kazi yoyote" najua upo vibaya Sana mpaka umeandika hivyo pole ila usiruhusu Sana stress zikutawale.
Ok umesema kazi yoyote ,nakushauri wacheki mawakala wa azam popote ulipo upate ice rorry nawewe uuze ukwaju(ice cream) hii haohitaji mtaji.
 
Nje ya taaluma yako ya kusomea, una credentials gani yaani una uwezo au talents zipi?!

Achana na hizi story za nitafanya chochote huu ni uongo wa karne hakunaga mtu anafanya chochote, kama unaweza fanya chochote then why upo hapa kuomba kazi na wewe si roboti.
 
Najua kutumia computer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom