Natafuta kazi yoyote

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
135
225
Jamani wapendwa habari zenu.

Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani.

Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie kinywani please msaada jamani.

Nimesomea ualimu nimeaplai nimekosa maisha ni magumu kazi yoyote nafanya nawaombeni sichagui asanteni.
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,546
2,000
Jamani waprndwa habari zenu ...nmevukilia nmechok Sasa nmekaa Sana nyumbani mpaka nmechok ata Senti inanipiga chenga jamani naombeni kazi sichagui yoyote nafany muhim mkono uingie kinywani plz msaada jmn nmesomea ualim nmeaplai nmekosa maish n magumu kazi yoyote nafany nawaombeni sichagui asanteni
Mungu akupe subira na uvumilvu katika kutafuta hitaji la moyo wako
 
7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,101
2,000
Jamani wapendwa habari zenu.

Nimevumilia nimechoka sasa nimekaa sana nyumbani mpaka nimechoka hata senti inanipiga chenga jamani.

Naombeni kazi sichagui yoyote nafanya muhimu mkono uingie kinywani please msaada jamani.

Nimesomea ualimu nimeaplai nimekosa maisha ni magumu kazi yoyote nafanya nawaombeni sichagui asanteni.
Ni vyema ukataja na mkoa ulipo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom