Muombe MUNGU atakutendea muujizasana!!
inafika mahala hujui ufanyaje kwahiyo chochote hata kufagia barabara its ok...
Ila hakuwa na maana mbayaKutafuta kazi yoyote n dalili mbaya
Hebu tafuta mchumba uolewe kwanza then mtaa kaa nakupanga mambo ya kazihabari zenu wakubwa
mimi ni msichana
wa miaka 23.
naishi Dar/ mbagala
natafuta kazi yoyote!
kwa mawasiliano (PM)
Mimi naweza mkuu,kama nitapewa nauli na lunch.KAZI YAKUFAGIA MAOFISINI UNAWEZA? ILA MSHAHARA HAUFIKI 150,000?