Natafuta kazi yoyote

Usikate tamaa jitahidi kutafuta pia kama una mashoga waulizie unaweza kupita madukani au ofisini bahati ikawa kwako na kufanikiwa. Ushauri wangu itafute kazi usisubiri ije. Pia hapa jf baadhi ya siku hupostiwa nafasi za kazi

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
nafanya hivo
nashukuru kwa ushauri
 
Habari zenu wakubwa,
Mimi ni msichana wa miaka 23. Naishi Dar/ Mbagala, natafuta kazi yoyote!
Kwa mawasiliano naomba uniPM
Hahahahaha ulinitolea uzi some whre nikajua mtu wa maana kumbe na ww um000? Kwa kauli ulizoztoa kwa post yangu kwenye jukwaa la.....sikuamin kama ungeweza omba uhouse girl plz our sisters and brother in social network is not good place for show off! Hebu jaribuni kuheshimu mawazo ya watu na post zao siwez kukuvunjia heshima kwa post yako ila kama hutaona aibu ni PM nikusaidie
 
mbona povu!!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom