natafuta kazi yoyote ya IT

Apr 15, 2013
12
2
mim ni memba mpya nina bachelor ya IT naishi mwanz, nimemaliza 2012 natafuta kazi naomba maoni yenu.ntashukuru kwa mchango wenu
 
Karibu sana JF...
Tangazo lako la kazi jaribu kulipeleka jukwaa la kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom