Kuna Highway Engineer anatakiwa hapa na mchina mshahara ni 8M.kazi yoyote
Mie nimeona umesema kazi yoyoteSema nina Mechanical Engineering, hii kazi nimeikosa
Unawza pambana tafuta watejaNatafuta kazi yoyote Mbeya kama kuuza duka, stationary na kazi zingine 0756704145
Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
huyo mchina hatafuti fundi wa kuchomelea maana nipo hapaKuna Highway Engineer anatakiwa hapa na mchina mshahara ni 8M.