Natafuta kazi yoyote halali

judey

Member
Jul 17, 2021
50
125
Mimi ni kijna wa miaka 22 ,naishi dar es salaam kwa azizi ally Nimeamua kutumia muda wangu kusaidia watu kazi mbalimbali hii nikutokana na wengi kubanwa na majukumu ya kila siku Manunuzi sehemu mbalimbalii mfano sokoni.

Usafi majumbanii ,kuosha gari kumwagilia bustanii na usafi wa kawaida kwa ujumla ,pia kufua nguo. Kusaidia watoto homework au masomo ya ziada baada ya kutoka shule hii ni kwa darasa la kwanza Hadi form four wa shule za kulipia hata wa shule za kawaida Kupanga vitu kwenye nyumba kiweka mapazia na kupanga vitu maofisinii.

Usimamizi wa nyumba kipindi cha ujenzii au usimamizi wa Mali yeyeto. Kwahayo na mengine mengi nitajitolea kufanya kwa uaminifu ambao ndiyo mtaji wangu kwa malipo kidogo tyu ambayo tutaelewa na amani hatutashindana pia nitatoa cheti changu na vitambulisho kama dhamana ikiambatana na barua ya mahalii ninapoishii kutoka kwa mtendaji wa Kijiji.

Kwa mawasiliano zaidii piga 0764240743 pia inapatikana WhatsApp
Mungu awabarikii sana karibunii kwa huduma boraa kwa bei ya kawaida
 
St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,596
2,000
Osama Bin Laden angeli kuwepo angetangaza ajira ya kujiunga na kundi lake 500,000 kwa mwezi wallahi Tanzania vijana mpaka wa kikristo wagekwenda. Nchi ijitafakari juu ya vijana wake juu ya kupata ajira ama kutaanza vikundi vya ajabu nchini.

Lunatic
 
Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
2,990
2,000
Nenda garda world wanatoa ajira za ulinz ,kwa mwezi 250,000/=

Hizo kazi za kuweka mapazia na kufua utapigwa machine kimasiala mpaka mbunye iwake motoo
Ukipeleka barua ya kuomba kazi inachukua siku ngapi kuitwa?
 
Aug 4, 2021
50
125
Osama Bin Laden angeli kuwepo angetangaza ajira ya kujiunga na kundi lake 500,000 kwa mwezi wallahi Tanzania vijana mpaka wa kikristo wagekwenda. Nchi ijitafakari juu ya vijana wake juu ya kupata ajira ama kutaanza vikundi vya ajabu nchini.

Lunatic
Kweli man!! Yani now ikitokea ajira alashabab vijana wa bongo watakwenda
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,501
2,000
Mimi ni kijna wa miaka 22 ,naishi dar es salaam kwa azizi ally Nimeamua kutumia muda wangu kusaidia watu kazi mbalimbali hii nikutokana na wengi kubanwa na majukumu ya kila siku Manunuzi sehemu mbalimbalii mfano sokoni.

Usafi majumbanii ,kuosha gari kumwagilia bustanii na usafi wa kawaida kwa ujumla ,pia kufua nguo. Kusaidia watoto homework au masomo ya ziada baada ya kutoka shule hii ni kwa darasa la kwanza Hadi form four wa shule za kulipia hata wa shule za kawaida Kupanga vitu kwenye nyumba kiweka mapazia na kupanga vitu maofisinii.

Usimamizi wa nyumba kipindi cha ujenzii au usimamizi wa Mali yeyeto. Kwahayo na mengine mengi nitajitolea kufanya kwa uaminifu ambao ndiyo mtaji wangu kwa malipo kidogo tyu ambayo tutaelewa na amani hatutashindana pia nitatoa cheti changu na vitambulisho kama dhamana ikiambatana na barua ya mahalii ninapoishii kutoka kwa mtendaji wa Kijiji.

Kwa mawasiliano zaidii piga 0764240743 pia inapatikana WhatsApp
Mungu awabarikii sana karibunii kwa huduma boraa kwa bei ya kawaida
Mkuu nakushauri kafanye kazi ya ulinzi. Ni kazi nzuri ya mpito na nakuthibitishia hutajutia ukiifanya kwa amani
 
teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
271
250
kuna kampuni mshahara 150,000 ya ulinzi, kama upo tayari nicheck kesho uanze kazi, kuna nafasi moja tu
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,283
2,000
Mimi ni kijna wa miaka 22 ,naishi dar es salaam kwa azizi ally Nimeamua kutumia muda wangu kusaidia watu kazi mbalimbali hii nikutokana na wengi kubanwa na majukumu ya kila siku Manunuzi sehemu mbalimbalii mfano sokoni.

Usafi majumbanii ,kuosha gari kumwagilia bustanii na usafi wa kawaida kwa ujumla ,pia kufua nguo. Kusaidia watoto homework au masomo ya ziada baada ya kutoka shule hii ni kwa darasa la kwanza Hadi form four wa shule za kulipia hata wa shule za kawaida Kupanga vitu kwenye nyumba kiweka mapazia na kupanga vitu maofisinii.

Usimamizi wa nyumba kipindi cha ujenzii au usimamizi wa Mali yeyeto. Kwahayo na mengine mengi nitajitolea kufanya kwa uaminifu ambao ndiyo mtaji wangu kwa malipo kidogo tyu ambayo tutaelewa na amani hatutashindana pia nitatoa cheti changu na vitambulisho kama dhamana ikiambatana na barua ya mahalii ninapoishii kutoka kwa mtendaji wa Kijiji.

Kwa mawasiliano zaidii piga 0764240743 pia inapatikana WhatsApp
Mungu awabarikii sana karibunii kwa huduma boraa kwa bei ya kawaida
Nitakucheki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom