Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

Huyu ni msaka ajira mwenzetu, sasa ameumia sana alivyoona umechangamkiwa PM kwa wingi akahisi ke wanapendelewa kuliko me hapa jamvini. Ndiyo maana nimemwambia asijilinganishe na ke, yeye ni me akaze tu mpaka kieleweke
Mkuu sijaelewa concern yake ni nini hasa?, why asijilinganishe na mwanamke? Nilidhani asijilinganishe na yeyote whether me or ke,awe yeye kama yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni msaka ajira mwenzetu, sasa ameumia sana alivyoona umechangamkiwa PM kwa wingi akahisi ke wanapendelewa kuliko me hapa jamvini. Ndiyo maana nimemwambia asijilinganishe na ke, yeye ni me akaze tu mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani wala asipanic bure, hizo pm zina mengi sana aisee, unakuta pm ya mtu unahisi ushapata kazi anakwambia nimependa ulivyojielezea inaonesha ni wife material, nahitaji uwe mama watoto wangu kha, namshauri asihisi anabaguliwa or nini, ajitahidi tu kutafuta na kutafuta, Mungu mwema atapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wako serious wanatafuta kazi wee unaleta mapenzi, nakushauri anzisha uzi wa hizo criteria zako utapata hitaji lako, hapa ni kazi tu mapenzi hayana nafasi until further notice .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ina tafsri kubwa sanA...sasa ww umebase kaz mpk boss asiwe mpenzi wako, mm nataka niwe mr.boss mpenzi tena mfanyakaz awe na kazi A nyepesiii asichoke kwa ajil ya kazi B ya hasa siku..

after all ww kaz umeshapata acha nas tufaidike kupata warembo walio curious na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wala asipanic bure, hizo pm zina mengi sana aisee, unakuta pm ya mtu unahisi ushapata kazi anakwambia nimependa ulivyojielezea inaonesha ni wife material, nahitaji uwe mama watoto wangu kha, namshauri asihisi anabaguliwa or nini, ajitahidi tu kutafuta na kutafuta, Mungu mwema atapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi Fulani niliwahi kutafuta Nazi
nikaishia kupewa namba za whatsap nitume picha..
Mara karibu dinner mahala Fulani
ukiwa mwepesi unaishia kutumika tu.

Ukisikia kazi za sales za Nje ya Ofisi nishtue mwaya
 
Kazi ina tafsri kubwa sanA...sasa ww umebase kaz mpk boss asiwe mpenzi wako, mm nataka niwe mr.boss mpenzi tena mfanyakaz awe na kazi A nyepesiii asichoke kwa ajil ya kazi B ya hasa siku..

after all ww kaz umeshapata acha nas tufaidike kupata warembo walio curious na maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka kufaidika si uanzishe uzi, hizi comments si wote wanaweza kuziona na kuzipitia, yawezekana ungekua ushapata sasa, huku hatuhitaji kazi A or B, tunahitaji kazi halali,hizo tafsiri zako huko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi Fulani niliwahi kutafuta Nazi
nikaishia kupewa namba za whatsap nitume picha..
Mara karibu dinner mahala Fulani
ukiwa mwepesi unaishia kutumika tu.

Ukisikia kazi za sales za Nje ya Ofisi nishtue mwaya
Yaani umakini unahitajika sana. Maana watu wengine wanakua na malengo tofauti

Sawa dear,nikiskia ntakushtua,Siku njemaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi Fulani niliwahi kutafuta Nazi
nikaishia kupewa namba za whatsap nitume picha..
Mara karibu dinner mahala Fulani
ukiwa mwepesi unaishia kutumika tu.

Ukisikia kazi za sales za Nje ya Ofisi nishtue mwaya
Huna kazi? mbona ni vigumu kuamini maneno yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom