Mimi ni Msichana umri miaka 25, Nina shahada ya kwanza ya mambo ya kibenki na huduma za kifedha( Bachelor of Commerce in Banking & Financial services) kutoka mojawapo ya vyuo vikuu hapa DSM.
Nahitaji Kazi halali either kulingana na profession yangu or yoyote inayofundishika ili niweze kuifanya kwa ufasaha na kuongeza tija kwenye taasisi,company, bank or sehemu yoyote ntayokua nafanyia Kazi hiyo.
Nina ujuzi wa kutumia Computer vzr( Ms word,Excel,Email, Internet).
Nishawahi kufanya Kazi ya kujitolea kwenye company fulani kama assistant Financial Controller kwa mwaka 1 hivyo nna ujuzi kwenye mambo ya kifedha kama kuandaa invoices,kufanya petty cash management etc.
Currently nipo Dar es salaam lkn naweza kufanya kazi sehemu yoyote na Kwa maelezo zaidi naomba tuongee PM.Ahsanteni na nawatakia siku njema.