Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

Oyaa macho mchuzi(sorry) mbona hivo kwani umeskia mume,boyfriend wangu no Human Resource Officer, just hope wachumba zako wote ushawatafutia kazi eeh, hongera HR siye wengine ndyo hivo tunafight wenyewe.
Hahaha mambo ..mimi mwenyewe Jobu Sika mama

Hata hivyo sio mbaya tukapeana mbili tatu za kazi ..nikucheki Piemu??
 
Mdada ambae yuko serious kutafta mpenzi atakaempa kazi na mtaji aje PM haraka, najisikia kumpa mdada mzuri moyo wangu..

nB: ntamfungulia kibanda awe anashnda apo akisubiri jion ifike twende kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wako serious wanatafuta kazi wee unaleta mapenzi, nakushauri anzisha uzi wa hizo criteria zako utapata hitaji lako, hapa ni kazi tu mapenzi hayana nafasi until further notice .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimesoma comment mwanzo mpaka mwisho nabaki nasikitika sana jf kwa sasa ubaguzi upo wa hali ya juu mno.
Kwa sisi wanaume tunaangaika kutafuta kazi !!tunaambulia kejeli tu .

Ubaguzi gani mkuu?, na umeona nini kwa hizo comments?, usijali utapata tu, usikate tamaa na usiwazie sana kuhusu ubaguzi nk,kuwa positive na songa mbele. All the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wako serious wanatafuta kazi wee unaleta mapenzi, nakushauri anzisha uzi wa hizo criteria zako utapata hitaji lako, hapa ni kazi tu mapenzi hayana nafasi until further notice .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa kule kwenye kuvutana kimasihara Alisha quote, naona kaja na huku... hapo Dodoma alipo na kwa umri wake wa 33 atapata tu, asituharibie uzi wa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimesoma comment mwanzo mpaka mwisho nabaki nasikitika sana jf kwa sasa ubaguzi upo wa hali ya juu mno.
Kwa sisi wanaume tunaangaika kutafuta kazi !!tunaambulia kejeli tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha mkuu umeandika kwa hisia sana! Isikuvunje moyo wala kukukatisha tamaa.
Maisha yako yote usijilinganishe na mwanamke

Still you have enough power to lift up yourself,just fight as a real man!

Mkuu sijaelewa concern yake ni nini hasa?, why asijilinganishe na mwanamke? Nilidhani asijilinganishe na yeyote whether me or ke,awe yeye kama yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom