Ni ngumu..maana ata Mimi I wish ningepata watu ivo wakunisaidiaKwani mzee mama boy friend/mume/mchumba/buzz wako ameshindwa kabisa kukutafutia kazi?
Acha utani bwana!!!
Sometimes unakuja kusaidiwa na mtu baki kabisaNi ngumu..maana ata Mimi I wish ningepata watu ivo wakunisaidia
Sometimes unakuja kusaidiwa na mtu baki kabisa
Oyaa macho mchuzi(sorry)[emoji1] [emoji1] mbona hivo kwani umeskia mume,boyfriend wangu ni Human Resource Officer, just hope wachumba zako wote ushawatafutia kazi eeh, hongera HR siye wengine ndyo hivo tunafight wenyewe.Kwani mzee mama boy friend/mume/mchumba/buzz wako ameshindwa kabisa kukutafutia kazi?
Acha utani bwana!!!
Dah, nilipishanaje na Gari LA mshahara hapa [emoji30] [emoji30] was July now its OctoberKuna hotel moja ipo ruangwa Lindi,, inahitaji receptionist. Kama utavutiwa na unaweza kuishi mazingira mbali na kwako/kwenu, na ukawa huna mtoto mdogo, utapokelewa kwa shangwe!
Ndo ukue activeDah, nilipishanaje na Gari LA mshahara hapa [emoji30] [emoji30] was July now its October
Mimi ni Msichana umri miaka 25, Nina shahada ya kwanza ya mambo ya kibenki na huduma za kifedha( Bachelor of Commerce in Banking & Financial services) kutoka mojawapo ya vyuo vikuu hapa DSM.
Nahitaji Kazi halali either kulingana na profession yangu or yoyote inayofundishika ili niweze kuifanya kwa ufasaha na kuongeza tija kwenye taasisi,company, bank or sehemu yoyote ntayokua nafanyia Kazi hiyo.
Nina ujuzi wa kutumia Computer vzr( Ms word,Excel,Email, Internet).
Nishawahi kufanya Kazi ya kujitolea kwenye company fulani kama assistant Financial Controller kwa mwaka 1 hivyo nna ujuzi kwenye mambo ya kifedha kama kuandaa invoices,kufanya petty cash management etc.
Currently nipo Dar es salaam lkn naweza kufanya kazi sehemu yoyote na Kwa maelezo zaidi naomba tuongee PM.Ahsanteni na nawatakia siku njema.
Nilifanikiwa mkuu, ila kama kuna deal nipe tu usijali. Ahsanteni sana Jf.Sorry, ulifanikiwa kupata kazi?
Mimi ni Msichana umri miaka 25, Nina shahada ya kwanza ya mambo ya kibenki na huduma za kifedha( Bachelor of Commerce in Banking & Financial services) kutoka mojawapo ya vyuo vikuu hapa DSM.
Nahitaji Kazi halali either kulingana na profession yangu au yoyote inayofundishika ili niweze kuifanya kwa ufasaha na kuongeza tija kwenye taasisi, company, bank or sehemu yoyote ntayokua nafanyia kazi hiyo.
Nina ujuzi wa kutumia Computer vizuri ( Ms word,Excel,Email, Internet).
Nishawahi kufanya Kazi ya kujitolea kwenye company fulani kama assistant Financial Controller kwa mwaka 1 hivyo nna ujuzi kwenye mambo ya kifedha kama kuandaa invoices, kufanya petty cash management etc.
Currently nipo Dar es salaam lakini naweza kufanya kazi sehemu yoyote na kwa maelezo zaidi naomba tuongee PM.Ahsanteni na nawatakia siku njema.
Niambie kijiwe unachofanyia kazi. Nataka nije nikutembelee na kukutoa lunch! Maana vidada vya benki mnapenda kweli kutolewa lunch.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuuBinti una elimu nzuri! Ukifikiria suala la ndoa basi uniPM nipo kwenye uhitaji huo. Serious
Aisee, thank you for the offer ila kijiwe changu siyo bank hivo hii offer nahisi kama hainihusu hivii ,vidada Vya huku havipendagi kutolewa lunch[emoji3]Niambie kijiwe unachofanyia kazi. Nataka nije nikutembelee na kukutoa lunch! Maana vidada vya benki mnapenda kweli kutolewa lunch.
Dah, thank you lakini ila mkuu suala la Elimu nzuri/mbaya na ndoa vinahusianaje sasa?[emoji30] , nitafutie deal hapo ofisini kwako advocate niwe nakusaidia hata kuwagongea mihuri customers[emoji3]Binti una elimu nzuri! Ukifikiria suala la ndoa basi uniPM nipo kwenye uhitaji huo. Serious
[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu