Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

Kipindi Fulani niliwahi kutafuta Nazi
nikaishia kupewa namba za whatsap nitume picha..
Mara karibu dinner mahala Fulani
ukiwa mwepesi unaishia kutumika tu.

Ukisikia kazi za sales za Nje ya Ofisi nishtue mwaya
Mkuu kwani anabaki. nayo! Acha woga ww upate kazi fasta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom