Natafuta kazi yoyote halali viwandani au kwenye kampuni

Muddy123

Member
Nov 6, 2022
25
15
Naitwa Muhammed naishi dar umri wangu miaka 30 Nina familia na mtoto mmoja hali yangu kiuchumi nimbaya sana nilisomea Ualimu masomo ya Geography na History ila kazi cjapata.

Hivyo naomba kwa anaejua Viwanda au Kampuni zinazochukua vibarua vya wafanyakazi anielekeze walau nipate kazi yakufanya Hali ningumu sana.....0693206150
 
Pambana Mzee tafuta wadhamini hao,washikaji zako unawatengenezea hata vitambulisho feki halafu wanaenda kukudhamini,Watu wengi now wanakimbilia Gardaworld ndo maana vigezo wameweka vigumu ila ndo kwasasa wanahitaji askari wengi sana na hata rate ya kuajiri ni kubwa,ukiingia Garda ndo utajua wasomi wanavyochinganya na hawabagui michongo ya kufanya
 
20221104_075950.jpg
 
Wasomi ni wengi sana uko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom