mkuu una certification courses zingine apart na hiyo Bsc?natafuta kazi nina Bsc with computer science
mkuu una certification coursea zingine apart na hiyo Bsc?
fanya kitu kimoja weka CV yako CareerBuilder.com Jobs - The Largest Job Search, Employment & Careers Site
pia search kazi hapo za kumwaga....
Kama uko bongo kuna kazi za System Administrator na Tutorial Assistant zimetoka Mbeya Institute of Science and Technology ziko kwenye Daily News la tarehe 10 Aprilnatafuta kazi nina Bsc with computer science
tehe tehe graduate huyo....Yo yo, Thread nyingine zina title bomba, ila ukizifungua tu unaanza kujiuliza kama mtu uendelee nazo au laah, ona hii nyingine: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/27305-girl-marry.html
Sasa huyo prospective employer akiona hizi threads mbili atakuwa na hamu tena ya kukuajiri akilinganisha na elimu uliyotaja kuwa unayo?!
nafikiri labda una dought na hilo jina,?Halafu una B.Sc with Computer Science?
nafikiri labda una dought na hilo jina,?
udsm wana bachelor ya namna hio katika School of Informatics and Communication Technologies wanatoa cert,dip na bachelor zifuatazo....
o Certificate in Computer Science
o Diploma in Computer Science
o Bachelor of Science in Computer Science
o Bachelor of Science with Computer Science
o Bachelor of Science in Electronic Science and Communication
http://www.udsm.ac.tz/undergraduate/programmes.php
nami zinanitatiza....zipo mbili angalia hapo.....kuna Bachelor of Science WITH Computer Science na Bachelor of Science IN Computer ScienceSasa hiyo Bachelor of Science with Computer Science inakuwa in nini?
Wasitake kutuyayusha UDSM wenyewe hawana authority na websites zao zimejaa madudu.Bila hata ya kuangalia naweza kukwambia hivyo.
nami zinanitatiza....zipo mbili angalia hapo.....kuna Bachelor of Science WITH Computer Science na Bachelor of Science IN Computer Science