busarakumkichwa
Member
- Jul 20, 2024
- 46
- 51
Pole kwa Changamoto,Mwenyezi Mungu akutangulieMimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625
Rudi kwenye uwakala mkuu kutapeliwa ni changamoto za kazi naamini hutatapeliwa tenaMimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625
mtaj ndo changamotoRudi kwenye uwakala mkuu kutapeliwa ni changamoto za kazi naamini hutatapeliwa tena
kuna kampuni ndo imechukua inalipwa alaf ina wafanyakaz ndo sisiWabunge wanalipa laki 2? Me nilidhani maeneo kama hayo yamejaa neema.
Pole sana kwa kutapeliwa nakuombeaMimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625
MUNGU AKUPE HAJAYAMOYOWAKO NDUGU NAKUOMBEA SANAMimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625
nadhan nakuongopea kuna ndo imechukua kampuni inawafanyakaz ndo sisiDuh bunge la nchi gani mkuu
200'000 aisee
kuajiriwa tena loh
Mkuu waeza elezea ulitapeliwa vip ili tujifunze huku ukitafuta kaziMimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu bunge likifungwaa na kazi nayo hamna hata miezi miwili. sasa natafuta kazi ambayo nitafanya kila siku mshahara kwa mwezi uwe 300000 au 10000 kwa siku, kazi yeyote ya halali hata manual work. Nipo Dodoma namba yangu 0694662625