Natafuta kazi yeyote kiwandani hasa viwanda vya Mwanza

Kwa ambao tumekulia Chuga tutakuuliza "Unatafuta Tenda ya Kusaplai bidhaa gani?

Ila kwakuwa wewe ni msukuma wa Mwanza najua umemaanisha "Kazi",Yaani unatafuta kazi!
 
Mzee kweli uko siriasi na hili tangazo lako?.

Anyways Kuna tenda ya kusaplai manii za ng'ombe. Kuna kiwanda cha kutengeneza red bull za kienyeji misungwi. Inatakiwa manii za ng'ombe Lita 4 kwa siku
 
Kwa ambao tumekulia Chuga tutakuuliza "Unatafuta Tenda ya Kusaplai bidhaa gani?

Ila kwakuwa wewe ni msukuma wa Mwanza najua umemaanisha "Kazi",Yaani unatafuta kazi!
Mimi sio msukuma ni mnyambo
 
Mzee kweli uko siriasi na hili tangazo lako?.

Anyways Kuna tenda ya kusaplai manii za ng'ombe. Kuna kiwanda cha kutengeneza red bull za kienyeji misungwi. Inatakiwa manii za ng'ombe Lita 4 kwa siku
Manii Tena. Mm ntfuta kazi za VIWANDANI hio tenda nimekosea
 
Tenda ya kufanya nini ? Au kila kitu unaweza / unafanya ? Na why kiwanda na sio Taasisi nyingine ?

In short Ongeza nyama kwenye andiko lako
 
Nenda Igogo au Nyakato industrial area kaongee na hao vijana wanaotoka kwenye mageti ya hivyo viwanda andaa pesa tu.
 
Wanyambo na wahaya ni tofauti mkuu elewa nipe mchongo
Wahaya na wanyambo wana asili moja Sema enzi za machifu kulikuwa na watawala tofauti, by the way hata huku kwa wahaya bado kuna waziba, wanyaiyangilo,wayoza etc ila wote wanyambo,wahaya,wanyankole (Uganda), Watoro (Uganda) lugha ni ile ile tofauti ni kidogo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom