Cameroan
Member
- Mar 30, 2019
- 19
- 4
Niko seriousBruh kama wajua lugha hizo naweza kukupataje ili unifundishe
Niko seriousBruh kama wajua lugha hizo naweza kukupataje ili unifundishe
Eti kutoongea Kiingereza ndo uzalendo! Kuna mzalendo zaidi ya Nyerere aliyekuwa anaongea lugha hiyo kwa ufasaha kuliko Malkia Elizabeth?
Siamini hivyo. Kwa umri wake, Mkulu kasoma kati ya miaka ya 1967 na 1978 hadi kumaliza O level. Wakati hule hali haikuwa mbaya kielimu na hivyo hata kwa Kiingereza. Kama kweli Mkulu anayo PHD genuine, bila shaka alikuwa kipanga, jambo ambalo linamfanya aweze kuongea Kiingereza kwa ufasaha. Huenda ni mkakati kama ilivyoelezwa kwenye huu uzi. Lakini kwanini hatushangai kwamba katika msafara hakukuwa na watu ambao wangeweza kuwa wakalimani kwa muda? Hii inaonesha ni mkakati maalumu wa Mkulu. Vingine ujumbe wotewa Tanzania ni wa kulaumiwa na hivyo ifike mahala tuseme WATANZANIA HAWAJUI LUGHA YA KIINGEREZA nikiwemo mimi na wewe, jamba ambalo haliingii akilini. Nampongeza Mkulu kwa kuamua kukipa hadhi inyaostahiki Kiswahili kama lugha ya Waafrika.Mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana, Inakuwaje doctor ashindwe kutema ng'eng'e
Kila anapoongea kithungu lazima aseme CATALYST to speed up....Huyu haongei kingereza si kwa sababu ya uzalendo ni kwa sababu ya kusoma kwa kedesa na kukariri tangu awali na kutembelea nyota za wenzake,
Mkakati huu uanzie mashuleni ili lugha ya kufundishia ngazi zote iwe kiswahiliSiamini hivyo. Kwa umri wake, Mkulu kasoma kati ya miaka ya 1967 na 1978 hadi kumaliza O level. Wakati hule hali haikuwa mbaya kielimu na hivyo hata kwa Kiingereza. Kama kweli Mkulu anayo PHD genuine, bila shaka alikuwa kipanga, jambo ambalo linamfanya aweze kuongea Kiingereza kwa ufasaha. Huenda ni mkakati kama ilivyoelezwa kwenye huu uzi. Lakini kwanini hatushangai kwamba katika msafara hakukuwa na watu ambao wangeweza kuwa wakalimani kwa muda? Hii inaonesha ni mkakati maalumu wa Mkulu. Vingine ujumbe wotewa Tanzania ni wa kulaumiwa na hivyo ifike mahala tuseme WATANZANIA HAWAJUI LUGHA YA KIINGEREZA nikiwemo mimi na wewe, jamba ambalo haliingii akilini. Nampongeza Mkulu kwa kuamua kukipa hadhi inyaostahiki Kiswahili kama lugha ya Waafrika.
Nenda YouTube kwa kuanzia ziko kibao za kujifunza lugha Mimi naongea kichina kiasi .Nilijifunza you YouTube binafsi bila kusaidiwa na mwalimu.Na nikiongea na wachina hundhani labda nilishakaa China ndio maana nakiweza. Zai jianmimi naomba na nahitaji mtu wa kunifundisha lugha kama kihispaniola,Kitaliano na kifaransa