Mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana, Inakuwaje doctor ashindwe kutema ng'eng'e
Kuna walakini hapo na hili Bensanane alipohoji akapotezwaMfumo wetu wa elimu ni mbovu sana, Inakuwaje doctor ashindwe kutema ng'eng'e
Kisukuma pia unakijua sawasawa?Baada ya Rais wetu kuamua kuitangaza lugha yetu ya Kiswahili na kukataa kuongea kiingereza huko Zimbabwe,
Baada ya waandishi wa habari wa Zimbabwe kushindwa kuongea na kutambua kiswahili,
Baada ya viongozi walioambatana na Rais kushindwa kukalimani hotuba yake kwa waandishi wa habari hivyo kupelekea kukosekana kwa mahojiano/maswali kati ya Rais na Waandishi,
Naomba kazi ya kuambatana na Rais katika ziara zake ndani ya nchi zinazozungumza kiingereza ili niwe mkalimani wake. nipo tayari kufanyiwa usaili.
Eti kutoongea Kiingereza ndo uzalendo! Kuna mzalendo zaidi ya Nyerere aliyekuwa anaongea lugha hiyo kwa ufasaha kuliko Malkia Elizabeth?
Huo ndio ufisadi wa elimu, PhD pesa ilitembeaMfumo wetu wa elimu ni mbovu sana, Inakuwaje doctor ashindwe kutema ng'eng'e
Nilikuwa namaanisha ningeweza kufanya kazi ya kuokoa jahazi kama kweli lugha ni tatizo. Sina tatizo la ajira.Nafasi mbona huwa zinatangazwa Sana Sadc ,African Union,Umoja wa mataifa na mashirika yake,Marekani nk watanzania huwa hawaombi sijui kwa Nini Lakini tatizo hawaitumii mitandao kutafuta fursa wanaitumia kwa vitu vya kijinga.Kuna mahali nilienda mkutano wa kimataifa ambako presenter alikuwa akiongea kifaransa mkalimani akawa mkongo anatafsiri kiswahili Cha kikongo tukawa tunalalamika.Waandaa mkutano wakasema tatizo nafasi za ukalimani za kimataifa zikitangazwa watanzania hamuombi.Na si hizo tu nafasi kibao za kazi hutangazwa hata na umoja wa mataifa hata saa hi zipo ingia website ya umoja wa mataifa ya UN jobs ziko kazi kibao . Lakini watanzania huwa hawaombi wanashindia ujinga mitandaoni.Kwa uwezo wa lugha ulionao hukustahili hata kuwa Tanzania ungekuwa mbali mno.Shame on you
Nafasi mbona huwa zinatangazwa Sana Sadc ,African Union,Umoja wa mataifa na mashirika yake,Marekani nk watanzania huwa hawaombi sijui kwa Nini Lakini tatizo hawaitumii mitandao kutafuta fursa wanaitumia kwa vitu vya kijinga.Kuna mahali nilienda mkutano wa kimataifa ambako presenter alikuwa akiongea kifaransa mkalimani akawa mkongo anatafsiri kiswahili Cha kikongo tukawa tunalalamika.Waandaa mkutano wakasema tatizo nafasi za ukalimani za kimataifa zikitangazwa watanzania hamuombi.Na si hizo tu nafasi kibao za kazi hutangazwa hata na umoja wa mataifa hata saa hi zipo ingia website ya umoja wa mataifa ya UN jobs ziko kazi kibao . Lakini watanzania huwa hawaombi wanashindia ujinga mitandaoni.Kwa uwezo wa lugha ulionao hukustahili hata kuwa Tanzania ungekuwa mbali mno.Shame on you
Nilikuwa namaanisha ningeweza kufanya kazi ya kuokoa jahazi kama kweli lugha ni tatizo. Sina tatizo la ajira.
Nimefanya kazi Tanzania, Liberia, Ghana, Chile, Brasil, Australia na Canada. Siyo kazi ya ukalimani bali lugha zilikuwa zinanisaidia katika profession yangu.
Hivi kweli Rais alikosa watu wa kutafsiri toka kwenye Kiswahili kwenda Kiingereza au ilikuwa ni mbinu ya kukwepa maswali?
OkNilikuwa namaanisha ningeweza kufanya kazi ya kuokoa jahazi kama kweli lugha ni tatizo. Sina tatizo la ajira.
Nimefanya kazi Tanzania, Liberia, Ghana, Chile, Brasil, Australia na Canada. Siyo kazi ya ukalimani bali lugha zilikuwa zinanisaidia katika profession yangu.
Hivi kweli Rais alikosa watu wa kutafsiri toka kwenye Kiswahili kwenda Kiingereza au ilikuwa ni mbinu ya kukwepa maswali?
Wewe endelea kupoteza muda tu fursa zinakuja za kimataifa wewe umekalia porojo za jamii forums ukija shtuka unakuja kuta age limit hairuhusu kuomba hizo post .Good night.Chezea fursa baadaye tuone Kama utakuwa hata na bundle ya kifurushi Cha kuingia jamii forums.Nimeshauri tu take it or leave itWe uko shirika gani la kimataifa baada ya kuingia kwenye hizo website? Mbona hujawahi kuweka hizo link hapa tuzione zaidi ya ww kumtukana Mbowe na Lisu? Kama kuna kazi zote hizo kwanini mnaiba kura ili mpate madaraka hapa hapa nyumbani na sio kwenye hizo kazi za kimataifa? Hao wakurugenzi walioshindwa kwenye chaguzi mbona hukuwaonyesha hizo link mmeishia kuwapa ukurugenzi ili wafanye hujuma kwenye chaguzi?
Wewe endelea kupoteza muda tu fursa zinakuja za kimataifa wewe umekalia porojo za jamii forums ukija shtuka unakuja kuta age limit hairuhusu kuomba hizo post .Good night.Chezea fursa baadaye tuone Kama utakuwa hata na bundle ya kifurushi Cha kuingia jamii forums.Nimeshauri tu take it or leave it
Kila la heri hongera zako tajiri Koko hewaNimeziona hizo fursa hata kabla ya awamu huu na zimenitoa kimaisha. Ww baki ukidhani hizo fursa kuwa ndio zimeanza sasa. Wenzenu tulishaamka kitambo na watoto wetu tunawapeleka shule ambazo hawaendi kupokea mwenge wa uhuru na kusoma kwa kiswahili.
Kila la heri hongera zako tajiri Koko hewa
Unayamanya haya maruga yote.Mimi naweza kusaidia kwa lugha zifuatazo:
1. Swahili
2. English
3. Portuguese
4. Spanish
Tajiri Koko hewa shikamoooMimi sio tajiri ila nina maisha ya uhakika, na hadi naingia kaburini sintokaa nikwame kimaisha, labda kama itatokea majanga ya kijiografia. Na nimefikia hapa nilipo kwa upambanaji sio kwa kubebwa na mfumo kama ww.
Tajiri Koko hewa shikamooo
kiingereza sio usomi