Natafuta kazi ya ufundi

kijiwesports

New Member
Joined
Jul 13, 2026
Posts
2
Reaction score
1
Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia nimesoma graphic designer kama kuna taasisi au mtu binafsi naomba unishike mkono kutoka na fani zangu.
Kwa sasa napatikana Dar es salaam
 
Uko vizuri sana
una umri gani na uko wapi
 
Niko Dar es salaam maeneo ya Mbagala nina umri wa miaka 32 naomba unisaidie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…