Hafidhibrahim
Senior Member
- Nov 4, 2014
- 142
- 32
kwa neema ya Mungu utapata kilichobora mkuu.
Habar ndg, za mapumziko!, Napenda chukua fursa
hii kuwaomba ndg jamaa rafik pia, mimi ni dereva
nmekuja kwenu najua kuwa naweza pata msaada.
Kama kuna mtu anaweza nikabidh gar nikamletea
hesabu suzuk(kirikuu) au townace au noah na
ata km gar ya nyumban kumuendesha tajir au
kaz za kupelekea watt shule np tayar np dar
mawacliano 0713844841 ahsante

Leseni yako ni daraja gani MKUU
Ngoja kwanza madereve wenyewe wathibitishe lini watagoma kisha tutakupigia Mkuu uje uanze kazi wala usijali.
nenda nakumatt
A,A2,B,D,E na pia gar za aina zote naendesha manual auto lefthand naweza
leseni. kinyago au ina vyeti