Msodido
Member
- Sep 7, 2020
- 34
- 46
Jamani wana JF natumai hamjambo,
Mimi mzima kabisa, namshukuru Mungu kwa pumzi na uhai.
Mimi kijana wenu natafuta kazi, mimi ni dereva, nilikuwa nikitumikia kampuni ya kitalii sasa baada ya kuingia corona na kibarua kikaota nyasi Kama mnavyo jua.
Nisiseme mengi, ila naombeni mwenye nafasi au network ya kazi naombeni mnisaidie, niweze kulisha familia.