Be more specific....
Upo mkoa gani...
Licence yako ni class gani?
Unaomba kazi ya udereva wa mabasi ya shule,mabasi ya abiria, malori, Magari ya tours, Magari ya viongozi, Au kuwa dereva wa familia, au udereva wa mashine za shambani kama tractor??
Kuwa wazi udereva umeganyika katika nyanja nyingi
Sent using
Jamii Forums mobile app