Mguu wa paja
Member
- Apr 26, 2017
- 40
- 9
Mkuu mbona umekuja kwa mwendo kasi. Inabidi uipe nyama hii thread yako kidogo.
Kazi kweli kweliSio Udeleva , ni Udereva
Mhurumieni jamani ulimi hauna mfupaTanzania hatuajiri ' Madeleva ' bali tunaajiri ' Madereva ' tafadhali. Umeshakosa Kazi tayari kwa Kigezo kimoja tu.
Mhurumieni jamani ulimi hauna mfupa
Abacho ni kulazimisha "L" ikae kwenye nafasi ya "R"Tanzania hatuajiri ' Madeleva ' bali tunaajiri ' Madereva ' tafadhali. Umeshakosa Kazi tayari kwa Kigezo kimoja tu.
Abacho ni kulazimisha "L" ikae kwenye nafasi ya "R"
Mkuu....' Abacho ' ni Kiswahili au Kimalawi Mkuu? Yaani unamcheka mwenzako Kuanguka mtaroni Wewe sasa ndiyo umetumbukia kabisa katika Choo kilichojaa ' Nnya ' mpaka pomoni / juu.