Natafuta kazi ya ualimu masomo ya sanaa

Natafuta kazi ya ualimu masomo ya sanaa

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
nna
BA.POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION, kwa ufasaha naweza
fundisha CIVICS,HISTORY,GS,ENGLISH,GEOGRAPHY tukikubaliana salary npo
tayari kujaza mkataba,zaidi niite kwenye interview unpe wanafunzi uone
kazi,UALIMU SI KUSOMEA NI KIPAJI NI SAWA NA UONGOZI. Asanteni.
 
si kweli wew huwez ualimu. Kama ulikuwa unaupenda basi ungeso,ea. Hata hvyo nowdys kuna walim wengi sana so i fear kama unaweza kupata but endelea kupigana
 
Ualimu ni taaluma inayosomewa, hapo unajipa matumaini, ualimu si kuhubiri. Sema nihurumieni
 
uwalimu ni zaidi ya unavyofikilia,kwani sio kuingia darasani na kufundisha masomo,kutoa assaignment,na kusahihisha test au exm.ukijifikilia hivyo ukombali na kada ya uwalimu na inabidi uombe msamaha wa kuidhalilisha hiii kada ya uwalimu hatakama uwalimu ni core/mother of all other course.:confused2::confused2::confused2:
 
Hizi kozi nyingne sijui huwa mnazisoma ili iweje?
 
Ukiniambia wewe ni msomi ntabisha hadi kesho! Eti kazi ya ualimu sio ya kusomea? Shame on u! Sasa subili uzeekee nyumbani ndo utajua kama kazi ya ualimu sio ya kusomea ama ni ya kusomea. We ni hamnazo kwelikweli.
 
Wakiwa vyuoni wanajiona wako juu na kozi zao huwadharau wa2 wanaosomea ualimu mwisho wa cku wanatamani ualimu kama huyu jamaa ye2 hope1985
 
kaamua kupima watu. Kwanza apige magoti nilambe stiki kumi kupanda ndo AKA yangu. Hawa ndo wanakuja kupiga madenti we2 vibendi
 
kaamua kupima watu.
Kwanza apige magoti nilambe stiki kumi kupanda ndo AKA yangu. Hawa ndo
wanakuja kupiga madenti we2 vibendi

nashukuru sana kwa mawazo mufilisi,vipi ma-lecturer ambao wanafundsha vyuon na hawajawahi somea ualimu,ndo hao walokupga bend basi unadhan kla anaefundsha na hajasomea ualimu ni mpga v-bend syo?
 
ualimu ni taaluma inayosomewa, hapo unajipa matumaini, ualimu si kuhubiri. Sema nihurumieni
ok asante kumbe hata ma-lecturer vyuon huwa wanahubiri ndo tunapata wasomi,maana si wote wamesomea ualimu.
 
Hizi kozi nyingne sijui huwa mnazisoma ili iweje?
WE UNADHANI WALIOZIANZISHA WALIFANYA HIVYO ILI iweje? NDUGU KAMA HUNA MSAADA WOWOTE UKAE KIMYA UNAUHAKIKA KWAMBA WALIMU WOTE WALIOAJILIWA WOTE NI WALE WALIOSEMEA UALIMU? Acha ujinga.
 
ukiniambia wewe ni msomi ntabisha hadi kesho! Eti kazi ya ualimu sio ya kusomea? Shame on u! Sasa subili uzeekee nyumbani ndo utajua kama kazi ya ualimu sio ya kusomea ama ni ya kusomea. We ni hamnazo kwelikweli.
ndugu acha kunitukana kama unahisi nimekosea nisahihishe siyo kunitukana,kama huna cha kunishauri kaa kimya uwe na hekima kidogo,je una uhakika tz nzima watu wote walioajiliwa kama walimu wamesomea ualimu wote hakuna ambao hawajasomea ualimu na wameajiliwa?nipe ushahidi,bnafs nnao jamaa zng wameajiliwa.
 
Wakiwa vyuoni wanajiona wako juu na kozi zao huwadharau wa2 wanaosomea ualimu mwisho wa cku wanatamani ualimu kama huyu jamaa ye2 hope1985
USIMJIBU MPUMBAVU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE USIJE UKAFANANA NAYE.
kama hili likubwa jinga dullah.
 
nashukuru sana kwa mawazo mufilisi,vipi ma-lecturer ambao wanafundsha vyuon na hawajawahi somea ualimu,ndo hao walokupga bend basi unadhan kla anaefundsha na hajasomea ualimu ni mpga v-bend syo?

wale si walimu (teachers) ni wakufunzi (lecturers)
 
WE UNADHANI WALIOZIANZISHA WALIFANYA HIVYO ILI iweje? NDUGU KAMA HUNA MSAADA WOWOTE UKAE KIMYA UNAUHAKIKA KWAMBA WALIMU WOTE WALIOAJILIWA WOTE NI WALE WALIOSEMEA UALIMU? Acha ujinga.

thats failure of the current system
 
ndugu acha kunitukana kama unahisi nimekosea nisahihishe siyo kunitukana,kama huna cha kunishauri kaa kimya uwe na hekima kidogo,je una uhakika tz nzima watu wote walioajiliwa kama walimu wamesomea ualimu wote hakuna ambao hawajasomea ualimu na wameajiliwa?nipe ushahidi,bnafs nnao jamaa zng wameajiliwa.

serikali haiwezi kuajiri asiye mwalimu, kama una ushahidi nipatie ili afukuzwe kazi. Atalipwa ngazi gani ya mshahara TGTS?
 
Mkiwa vyuoni mnajifanya mko juu sana,msisome kozi kwa mkumbo na kudharau wanaosoma ualimu,unaona sasa na bado utakaa bench mpaka bac.wenzako mwezi huu wanaajiliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom