Hivi kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (BCOM) ungemshauri asome kozi gani hapa?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,240
Hello marafiki.

Kuna ndugu kaniuliza swali hapa.
Anataka kujoin bachelor mwaka huu.

Hivi kati ya Bachelor of Business Administration (BBA) na Bachelor of Commerce (BCOM) ungemshauri asome kozi gani hapa.

😁😁😁😁😁karibuni jamani kwa michango yenu.
 
BBA ni broad na ndani yake utazikuta kozi za BCOM hivyo achague BBA.
 
Back
Top Bottom