Emmanuel kinemela
Member
- Jun 30, 2016
- 5
- 2
Habarini wakuu,
Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja.
Natanguliza shukrani.
Natafuta kazi ya u-storekeeper. Nina uzoefu wa kufanya kazi hii kwa mwaka mmoja.
Natanguliza shukrani.
Nina elimu ngazi ya cheti mambo ya ugavi!! Natafuta kazi
NB: Kazi yyte inayohusu masuala ya uangalizi wa store nafanya