mashukurumageni
Member
- Nov 18, 2016
- 19
- 7
Nipo dar es salaamupo mkoa gani? unaweza kufanya kazi nje ya mkoa uliopo??
Upo Dar sehemu gani?Nipo dar es salaam
Ungekuwa maeneo ya Tabata ningekupa mchongoTemeke
Nakusikuliza mkuuPM me
Kibaha!Njoo kibha nafasi ipo
Nipe uwi mchongo mkuuUngekuwa maeneo ya Tabata ningekupa mchongo
Unapatikana wapi? I mean kama ni Dar unaishi wapi?Habari zenu wandugu, mimi ni mdada wa miaka 27, ninahitaji kazi ya steshenary, elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer, sio lazima iwe steßhenary kazi yoyote yenye masilahi na iliyo halali nafanya
Mimi nipo tabata kinyez elimu kidato cha 4 nimesomea kozi ya kompyuta..naitaji hiyo kazi kama inawzekana..Ungekuwa maeneo ya Tabata ningekupa mchongo
??Tupia picha yako please....ONYO : siyo ya vyeti vyako......Vigezo na masharti kuzingatiwa....