herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
Ungekuwa unapatika maeneo ya AFRICANA' MBEZI BEACH,ningekupa mchongoTemeke
Ungekuwa unapatika maeneo ya AFRICANA' MBEZI BEACH,ningekupa mchongoTemeke
Ushawahi fanya kazi ya stationery?Mimi nipo tabata kinyez elimu kidato cha 4 nimesomea kozi ya kompyuta..naitaji hiyo kazi kama inawzekana..
Samahn nimendandia uzi wa watu
Samahan ...n bint wa miaka 21...naish tabata naomba hiyo nafas kama haijapata mtuUngekuwa maeneo ya Tabata ningekupa mchongo
tabata ipi?Samahan ...n bint wa miaka 21...naish tabata naomba hiyo nafas kama haijapata mtu
Npo tabata segerea.....kiukwel sina uzoef ila nmesoa na kuelewa vizur computer basics na najiamin ninaweza kuhusu mshahara ni maelewanotabata ipi?
Uzoefu wa kazi unao?
Malipo unatakaje?
Njoo chanika Sheraton ninahutaji mwal.wa nursery schoolHabari zenu wandugu, mimi ni mdada wa miaka 27, ninahitaji kazi ya steshenary, elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer, sio lazima iwe steßhenary kazi yoyote yenye masilahi na iliyo halali nafanya
hayo mgeongea pemben nas hapa... du! unataka na mshahara tuujue na sstabata ipi?
Uzoefu wa kazi unao?
Malipo unatakaje?



Nimeku PM nipe hizo details ASAPNpo tabata segerea.....kiukwel sina uzoef ila nmesoa na kuelewa vizur computer basics na najiamin ninaweza kuhusu mshahara ni maelewano
Niwe mkweli sijawai fanya hii kazi ya stationary lakin niko tayr hata kufanya kwa kujitolea kwa wiki moja...kuhusu mshahara ni maelewano baina yangu na wewe...Ushawahi fanya kazi ya stationery?
malipo unategemea kiasi gani?
Tigo pesa and maxmalipo unaweza tumia?
Mim nna umri wa 24.lakn naitj hyo Kazi naweza kukutfta?Unae taka kazi ya stationry nipigie namba hihi nikupe kazi naopi natafuta mdada wakazi awe na umri miaka 18 no0716867308
Niwe mkweli sijawai fanya hii kazi ya stationary lakin niko tayr hata kufanya kwa kujitolea kwa wiki moja..tgopesa nnauzoefu nayo.kuhusu mshahara ni maelewano baina yangu na wewe...
Vigezo na masharti ya maombi?Njoo chanika nahitaji mwalimu wa Nursery
Mkuu nakuja pmNjoo chanika Sheraton ninahutaji mwal.wa nursery school
Mkuranga ni njia ya kilwa road au?!!!na je mahala pa kukaa pataptikna yaan kwa gharama za boss au??Kuna stationery moja juzi kuna dada alikuwa anafanya kazi akaenda kwenye ngoma hajarudi mpaka leo,mwenyewe anatafuta mdada wa kazi.Kama mmoja wenu kati ya ninyi mnaotafuta kazi hii hamjapata,mni-PM.Ila kazi Mkuranga.
Mimi nina 24 yrs ruksa kukutafuta?Unae taka kazi ya stationry nipigie namba hihi nikupe kazi naopi natafuta mdada wakazi awe na umri miaka 18 no0716867308
Kuna mtu namfahamu naye yupo hapohapo africana na anaitaji kazi pia....nikupe nawasiliano ili umpatie job..?!!Ungekuwa unapatika maeneo ya AFRICANA' MBEZI BEACH,ningekupa mchongo