monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 877
- 1,564
Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha
kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi tafadhali ni-PM nitajibu haraka iwezekanavyo
Nawasilisha
kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi tafadhali ni-PM nitajibu haraka iwezekanavyo
Nawasilisha