Natafuta kazi ya sales kwenye kiwanda cha uzalishaji wa unga wa sembe na Dona

Jun 20, 2019
10
10
Natafuta kazi ya sales kwenye kiwanda cha kuzalisha unga wa sembe na Dona, nina uzoefu mkubwa wa masoko kwenye field hii nina uwezo wa kuuza tani 60 mpka 90 kwa mwezi nina masoko na wateja wanaoniamini na kunipenda..
Tunaweza tukawasiliana kwa maelezo zaidi
 
nina uwezo wa kuuza tani 60 mpka 90 kwa mwezi nina masoko na wateja wanaoniamini na kunipenda..
Safi sana, umejitanabaisha kiubagaubaga...
 
Natafuta kazi ya sales kwenye kiwanda cha kuzalisha unga wa sembe na Dona, nina uzoefu mkubwa wa masoko kwenye field hii nina uwezo wa kuuza tani 60 mpka 90 kwa mwezi nina masoko na wateja wanaoniamini na kunipenda..
Tunaweza tukawasiliana kwa maelezo zaidi
Salama bado unatafuta kazi ya sales kama ndio nipihie 0753806559
 
Back
Top Bottom