Natafuta kazi ya Procurement/Marketing and Sales, nina uzoefu wa miaka mitano

pinkybabe

New Member
Mar 3, 2021
1
0
Habari wana JF,

Nakuja kwenu kuleta maombi yangu, ninatafuta kazi, nina Bachelor ya Procurement, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye sector ya Logistics Management.

Nina uwezo wa kufanya marketing na sales kwa lugha ya Kiingereza kwa ufasaha, niko vizuri kwenye negotiation za bei na mikataba, nna experience pia ya katibu wa kampuni na katibu wa mtu binafsi, nna uwezo wa kuiwakilisha kampuni mahali popote, nina leseni, ni mchangamfu, najua kwenda na muda, niko exposed vya kutosha, bila kusahau ni mrembo pia.

Kwa mawasiliano njoo inbox na offer tuyajenge, niko Dar es salaam.
 
Hope utafanikiwa. Na kwa hiyo sifa ya "Mimi ni mrembo", basi connection utaipata chapu ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom