Kwani Rahma umri wako we unapungua au?Habari, naitwa Rahma,nina miaka 22.
Naomba msaada kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi yeyote ya halali lkn iwe Dar es salaam, namba yangu 0782342046....lkn Nina diploma ya uwandishi wa habari. nikiwa nasubir cheti change sitaki kukaa bure kwasababu najitegemea...., ila Nipo serious jamani matani sitaki, nip dar ....halafu kuna baadhi ya watu tabia sio nzuri, utakuta ankufata pm au whsap n kuaza kukwmbia sijui nitumie picha zako .....jamn hiyo tabia ife ....unajiona hauna uwezo wa kunisaidia nibora utulie tu si kuaza kusumbuana:
Angalizo tu, Sitafuti mpenzi natafuta kazi, halafu sio tangazo naloliweka ni langu wengine wananiomba niwasaidie tu lkn hili ni langu.. Ahsanteni
Hahah dah!!!watu hamshindwi kwa kweliKwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Tunaundugu na mangeHahah dah!!!watu hamshindwi kwa kweli
Kwa kweliTunaundugu na mange
Ha ha haaaa!! JF bwana noma sana sana, lazima tuwe tunawaumbua tu hamna namna!!Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Salamu zikufikie mkuuu [emoji47]Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?
Hahhaa mkuu kwa hio avatar unampa kazi gani izo unazani ataziweza [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wanawake wa mjini skuizi hata bustani hawawezi. Wanajua kunyonya mikunyange ttyuuTuma address zako pm then uje kupata ajira huku
Kuna shamba la maharage ekar 24+ tunaanza kupambana j3 ukija ulifanya kaz kwa masaa9 una elfu6 per day
Na pia kunakupiga dawa shamba la mahind ekar200+
Kuna kaz ya kuchota maji toka mton kufika shamban
Tsh200/= kwa ndio moja..
Kuna kaz ya kupalilia Katanga unalipwa kwa msaa ukianza asubuh SAA moja mida ya saa6 mchana una elfu3, na pia ukianza saa8 mchana mpk saa12 tsh3000 total per day elfu6
Kuhusu kula juu yako but kuna maembe ma migagi kaz kibao kimbia mjini
Nazirudisha huko. Tungekua hatujifichi nyuma ya Fake IDs leo najua ningepata ofa za bia kutoka kwa wadau mbalimbali. Uzuri mmoja na mimi hupenda kujibu mapigo. Ukinunua na mimi banunua ili tuende sawaSalamu zikufikie mkuuu [emoji47]
Haha mjini shule kijijini nguvuMkuu we kiboko yao na umemkomesha kweli watu wanakuja na staili nyingi za kihuni mie nimeweka tangazo la kazi ila sioniwatu wakichangamkia fursa ila nashangaa Uzi wa watu wakitafuta kaz unaongezeka
Hivi mkuu Mbupu zako ziko shingoni? Una kasoro gani mpaka utongoze wanaume wa mtandao ?Mimi nimetokea kukupenda kama hutojali naomba tuwe wapenzi pesa ninayo ya kutosha nimepiga kitabu vya kutosha ninachosubiri ni uteuzi kutoka kwa mkuu wa kaya
Peleka biashara yako kimboka kwa jf utaumbukaKwani ni lazima utoe Mawazo yako hapa au ndo bosho msiewww...half soma post uelew ndo uabdike upuuz wako [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji357] [emoji357] [emoji357] linakuhusu
Ameomba kaz yeyote mkuu,alafu anakomaa ety dar tuHahhaa mkuu kwa hio avatar unampa kazi gani izo unazani ataziweza [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wanawake wa mjini skuizi hata bustani hawawezi. Wanajua kunyonya mikunyange ttyuu
Hapa hatatia tena Mkono .Daadeki,Kaburi Limefukuliwa.Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?