Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

Nokia wana post ya Transition Manager! Kazi kwako kuweza kupenya nakupeleka CV zako!!

Kitu kingne usikate tamaa,unaweza kwenda pale Huawei,ukaomba kuonana na boss wa hizo mambo zenu,ongea nae kwa undani,na ukibahatika ukakuta sio mtanzania,anaweza kukupa ka usaili ka hapa na pale,zen show him/her or them kwamba you can do!!
Nilienda Huawei wapo ktk jengo la ACACIA, nilijaribu nionane na viongozi kama IP manager /specialist, HR dada wa mapokezi alinikatalia lakini nieacha CV yangu.
 
Nilienda Huawei wapo ktk jengo la ACACIA, nilijaribu nionane na viongozi kama IP manager /specialist, HR dada wa mapokezi alinikatalia lakini nieacha CV yangu.
Usichoke kusambaza CV.
 
usisubiri watangaze go for it kabla unaweza kuwa one among the first ...mara nyingi kutangaza huwa ni kazi za chini na kufuata formalities
 
usisubiri watangaze go for it kabla unaweza kuwa one among the first ...mara nyingi kutangaza huwa ni kazi za chini na kufuata formalities
Nimeshazunguka na CV zangu kupeleka company mbalimbali na bado nazunguka.
 
Nina degree ya Telecommunication Engineering,CCNA (Routing ang and switching).Nipo vizuri sana ktk:
Cisco
• LAN switching configuration and troubleshooting.(VLAN,Intervlan,DTP,VTP,Etherchannel (PAgP,LACP))
• Configuration and troubleshooting of routing protocols (Static route, RIP, EIGRP, OSPF,
ISIS and BGP).
• NAT configuration and troubleshooting (Dynamic and Static).
• Policy Based Routing (PBR) configuration and troubleshooting.
• Routing Distribution configuration and troubleshooting.
• Configuration and troubleshooting of MPLS-VPN (mVPN, MPLS-TE).
• L2VPN (Frame relay over MPLS, PPP over MPLS, HDLC over MPLS and Ethernet over
MPLS (VC-type 4 and VC-type 5)).
• DMVPN (IPSec, NHRP) configuration and troubleshooting.
• Redundancy and load balance (HSRP, VRRP, and GLBP) configuration and
troubleshooting.
• Multicast configuration and Troubleshooting (IGMP, BSR, PIM SPARSE-MODE AND
DENSE-MODE).
• Frame-relay configuration and troubleshooting.
• ATM configuration and troubleshooting.
• Access control standard, extended, reflexive, context based access control, Time-based
ACL, Dynamic ACL and ZBF configuration and troubleshooting.
• VPN configuration and troubleshooting.
• DHCP, FTP, HTTP, DNS, NTP, SYSLOG and EMAIL configuration and
troubleshooting.
• Wireless configuration.
• Internetworking between Frame-relay and ATM.
• ASA firewall configuration and troubleshooting (NAT configuration, IPSec VPN and
Configuring firewall failover (active/standby failover, active/active failover), single
Context and multiple contexts).
All tasks configured in packet tracer and GNS3 (Cisco command).

Huawei
Troubleshooting and configuration of VLAN,Inter VLAN,Mux VLAN,Super VLAN,GVRP,STP,RSTP,HDLC,PPP,Frame Relay,Static,RIP,OSPF,BGP,IS-IS,QinQ tunelling,Access Control List,VPN,IPSec,DSVPN,VRRP,LACP.(In eNSP huawei Simulator)

Juniper
Troubleshooting and configuration of RIP,OSPF,IS-IS,BGP,Static (In GNS3)
Uliapply.
 
Anza kutafuta sehemu ya kufanyia mazoezi kijana hata kwenye makampuni yanayofundisha hizo kozi za CCNA/CCNP unakuta wanavyo vifaa unalipia kwa masaa tu unajipigia mazoezi yako ya kutosha maana wengi wako vizuri theory ila ukiwapa Linksys/Cisco ruter yoyote wanashindwa hata wapi wachomeke console cable na watumie program gani ku login...Ukiwezaa mazoezi basi kaa mkao wa kula na post za utumishi kazi yoyote ya network engineer iombe kisha nenda piga utatoboa mwanangu...Ukifika pale makumbusho kuna kampuni moja wiki iliyopita nilieenda kuihudumia nikakuta wanavyo vifaa vya Cisco vya kutosha (Switches na Routers) inaitwa Kinotel ukitaka kupiga mazoezi ya vifaa hivyo unaweza enda pale ukalipia ukapata uzoevu wa ku interact na vifaa in real life kuliko ku simulate mzee baba.
Nilienda kwa hao kinotel, lab ni elfu 20 kwa saa mmoja, ila wameniambia kwa sasa wanafunzi wao tu ndio wanatumia wakimaliza, watanipigia simu ili nami nianze.
 
Back
Top Bottom