Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,903
- 3,549
Hongera
Asante,japokuwa sijajua hiyo pongezi inamaanisha nini.Hongera
Maana mi Networking ilinishinda kwenye IP jinsi ya kuzigawaAsante,japokuwa sijajua hiyo pongezi inamaanisha nini.
Hukupambana vya kutosha, it is sooo easy to do subnettingMaana mi Networking ilinishinda kwenye IP jinsi ya kuzigawa
Sikua na studying mood....Hukupambana vya kutosha, it is sooo easy to do subnetting
Mbona hesabu zenyewe, sio ngumu kabisa, yaani mule ni gawanya na kutoa tu basi au zero 1s na 0s ndizo zinakuchanganya.Maana mi Networking ilinishinda kwenye IP jinsi ya kuzigawa
Sikuwa kwenye moodMbona hesabu zenyewe, sio ngumu kabisa, yaani mule ni gawanya na kutoa tu basi au zero 1s na 0s ndizo zinakuchanganya.
Anza na Tutorial za Youtube,kuna channel nzuri na zinafundisha kwa njia rahisi na vitendo.Sikuwa kwenye mood
Anza na hii channel ya YouTube danscource, nzuri kwa kuanzia.Sikuwa kwenye mood
Ingia inbox nimeshakutumia.Naomba cv yako
Ingia inbox, nishatuma tokea juzi.injooo inbobo
got itIngia inbox, nishatuma tokea juzi.
Uko over qualified, itakuwa vigumu kuajiriwa.
Tafuta mtaji uwe una freelance kwenye makampuni.
Otherwise utazunguza CV hadi soli ziishe.
Ukitaka kuingia ubia nifuate inbobo.