Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

Something smells fishy here.
Nyie HKL si mnajidai kuwa ndio waendesha Vogue maisha ya kitaa mnayajua, huku sisi wa Engineering tukiwa tunapata tabu sana???

Ama unataka kusema wana HKL wenzako kina General Mangi, FRESHMAN na LINAFIKI Humble African huwa wanabwatuka tu kumbe wanaongopa. Kubabako zao!!!
Wewe acha zarau zako za kijinga. Na injinia yako una maisha gani ya maana apa mjini?! Wenye maisha wote na pesa wana wapo hkl ..sasa endelea kuleta ujuaji
 
Kuna Kampuni inaitwa MAKTECH,ofisi zao zipo africana,nyuma ya kituo cha daladala kama unaelekea mjini,fika pale,wape makabrasha yako,wanakazi nyingi za TX,za voda,Tigo,
Maktech wamepata tenda lini? maana nimepeleka CV mara 3 lakini wananiambia hawana kazi kwa sasa
 
Acha biashara za kukatisha tamaa watu, mwenye post yako watu negative kama huyu wala usiwasikilize.
Sasa hapo nimemkatisha tamaa vipi.

Kwani kubwa freelancer kuna tabu gani mkuu. Nyie ndio mmekariri kwamba ni lazima ukimaliza shule uajiriwe.

Kumbe unaweza kuwa mjanja ukijiajiri pia na kuajiri wengine.

Kwa CV hiyo hakuna IT Manager atakubali mshkaji awepo nae. Kila mtu analinda ugali wake.

Acha uoga wa maisha.

*** Mkuu tafuta mtaji fungua kampuni yako upige pesa. Mambo ya kuajiriwa yaliisha enzi ya Jakaya.***
 
Kuna ukweli unaouma hapa
 
Kwanza umemdanganya kuwa yuko overqualified, wakati alichonacho ni knowledge nzuri which is an excellent starting point ila hajakuwa na experience kwenye real environment, no one will allow him to touch their network iwe ni kufreelance au kuajiriwa kama hana real world experience, mimi nafanya kazi ya network ndio najua nlikotoka, I was just like him. Halafu usilazimishe watu wafanye unachokitaka wewe.
Mwombee kwa Manager wako aje kupiga kazi kwenu oune kama ajawakalisha wewe na Manager wako.

Hizo Qualifications alizonazo huyu dogo wewe huna.
 
Something smells fishy here.
Nyie HKL si mnajidai kuwa ndio waendesha Vogue maisha ya kitaa mnayajua, huku sisi wa Engineering tukiwa tunapata tabu sana???

Ama unataka kusema wana HKL wenzako kina General Mangi, FRESHMAN na LINAFIKI Humble African huwa wanabwatuka tu kumbe wanaongopa. Kubabako zao!!!
Mkuu mimi sijasoma, hata hizo hkl sielewi ni nini.

Niliacha shule la saba, nilifukuzwa baada ya kufumaniwa darasani.
 
Mwombee kwa Manager wako aje kupiga kazi kwenu oune kama ajawakalisha wewe na Manager wako.

Hizo Qualifications alizonazo huyu dogo wewe huna.
Haaaha kwa hiyo ukimuita jamaa kwenye kampuni ni kwamba unajifukuzisha kazi aiseee.....
 
Anza kutafuta sehemu ya kufanyia mazoezi kijana hata kwenye makampuni yanayofundisha hizo kozi za CCNA/CCNP unakuta wanavyo vifaa unalipia kwa masaa tu unajipigia mazoezi yako ya kutosha maana wengi wako vizuri theory ila ukiwapa Linksys/Cisco ruter yoyote wanashindwa hata wapi wachomeke console cable na watumie program gani ku login...

Ukiwezaa mazoezi basi kaa mkao wa kula na post za utumishi kazi yoyote ya network engineer iombe kisha nenda piga utatoboa mwanangu...Ukifika pale makumbusho kuna kampuni moja wiki iliyopita nilieenda kuihudumia nikakuta wanavyo vifaa vya Cisco vya kutosha (Switches na Routers) inaitwa Kinotel ukitaka kupiga mazoezi ya vifaa hivyo unaweza enda pale ukalipia ukapata uzoevu wa ku interact na vifaa in real life kuliko ku simulate mzee baba.
 
Anza kutafuta sehemu ya kufanyia mazoezi kijana hata kwenye makampuni yanayofundisha hizo kozi za CCNA/CCNP unakuta wanavyo vifaa unalipia kwa masaa tu unajipigia mazoezi yako ya kutosha maana wengi wako vizuri theory ila ukiwapa Linksys/Cisco ruter yoyote wanashindwa hata wapi wachomeke console cable na watumie program gani ku login...Ukiwezaa mazoezi basi kaa mkao wa kula na post za utumishi kazi yoyote ya network engineer iombe kisha nenda piga utatoboa mwanangu...Ukifika pale makumbusho kuna kampuni moja wiki iliyopita nilieenda kuihudumia nikakuta wanavyo vifaa vya Cisco vya kutosha (Switches na Routers) inaitwa Kinotel ukitaka kupiga mazoezi ya vifaa hivyo unaweza enda pale ukalipia ukapata uzoevu wa ku interact na vifaa in real life kuliko ku simulate mzee baba.
Ok
 
Back
Top Bottom