Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 96
Habari, umri wangu ni 25 elimu kidato cha nne naishi Tabata Kinyerezi, jinsia kike natafuta ajira ya usaidizi wa kazi za salon ya kiume( ninauzoefu wa miaka miwili), pia naweza kufanya katika duka au stationary (sina uzoefu wa kazi hii ila nipo tayari kujitolea kwanza hata kwa wiki) usafi wa maofisini(binafsi au shirika
Ahsanteni
Ahsanteni