Natafuta kazi ya msaidizi wa vinyozi

Depretty

JF-Expert Member
Jun 14, 2013
248
96
Habari, umri wangu ni 25 elimu kidato cha nne naishi Tabata Kinyerezi, jinsia kike natafuta ajira ya usaidizi wa kazi za salon ya kiume( ninauzoefu wa miaka miwili), pia naweza kufanya katika duka au stationary (sina uzoefu wa kazi hii ila nipo tayari kujitolea kwanza hata kwa wiki) usafi wa maofisini(binafsi au shirika
Ahsanteni
 
habari, umri wangu ni 25 elimu kidato cha NNE naishi tabata kinyerezi,jinsia kike natafuta ajira ya usaidizi wa kazi za salon ya kiume( ninauzoefu wa miaka miwili),pia naweza kufanya katika duka au stationary (sina uzoefu wa kazi hii ila nipo tayari kujitolea kwanza hata kwa wiki)usafi wa maofisini(binafsi au shirika
ahsanteni
Nitafute !
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom