Natafuta kazi ya kufundisha physics na chemistry ngazi zote za elimu

Kufika Namibia ni TSH ngapi pamoja na passport? Maisha huko yakoje kuhusu usalama?
Mkuu tafuta passport hiyo taaluma uliyokuwa nayo ni special skills,zamia New Zealand,Australia hata hapo middle east,pia angalia hapa hapa SADCC hasa Namibia au Botswana,riziki popote ila never usiruke border ingia kihalali na taaluma yako itakulinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom