Natafuta kazi ya kufundisha physics na chemistry ngazi zote za elimu

navigator msomi

Senior Member
May 8, 2018
158
170
Mimi kijana 24yrs. Nimemaliza elimu yangu ya shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha dsm.

Nimekuja kwenu kuwaomba kama kuna mtu anaweza kuni assist nikapate sehemu nikafundisha masomo hapo juu.

Nina uzoefu mzuri katika masomo tajwa hapo juu,kwani hata ufaulu wangu ni kuanzia B kwenda juu (wa miaka zile). Pia chuo nimefanikiwa kupata upper second.

Pliz share na mm deal lolote itapendeza zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh

Mkuu mimi nataka physics na chemistry ya form nataka kurudia mtihani,unanisaidiaje?
 
Ni mimi TUJITEGEMEE na sema hivi kwa kuanzia andaa mazingira ya kufungua 'tuition centre'! Usianze kwa bei kubwa.
 
Halafu kuna watu wana msifia JIWE eti ni kiongozi mzuri; yaani mwalimu wa sayansi anakosaje KAZI wakati shule karibu zote za secondary hazina walimu wa kutosha wa masomo hayo!? Sorry kwa kutoka nje ya topic.
 
Mkuu tafuta passport hiyo taaluma uliyokuwa nayo ni special skills,zamia New Zealand,Australia hata hapo middle east,pia angalia hapa hapa SADCC hasa Namibia au Botswana,riziki popote ila never usiruke border ingia kihalali na taaluma yako itakulinda.
 
Halafu kuna watu wana msifia JIWE eti ni kiongozi mzuri; yaani mwalimu wa sayansi anakosaje KAZI wakati shule karibu zote za secondary hazina walimu wa kutosha wa masomo hayo!? Sorry kwa kutoka nje ya topic.

We are on righti trakiiii tutembee vifua mbereee sisi ni donor kantri inabidi tuanze kudonate na walimu wa sayansi kwwnda nchi nyingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom