Natafuta kazi ya kufundisha ECONOMICS & HISTORY.


U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Messages
1,374
Likes
1,229
Points
280
U

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2011
1,374 1,229 280
Nategemea kugraduate mwezi wa sita mwishoni, BA EDUCATION, natafuta shule za private DSM, MOROGORO au DODOMA, kufundisha kwa "temporary"au mkataba kulingana na makubaliano. Please, mwenye shule au anayefaham shule yenye nafasi hizo, tusaidiane! Natanguliza shukran zangu kwenu!
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,525,978