Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

El uno

Member
Oct 9, 2018
92
108
Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu.

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza, natafuta ajira ya kufundisha shule au kuwa tutorial assistant kwa masomo niliyotaja. Lazima nikiri nimeomba ajira za TAMISEMI Kwa miaka sita bila mafanikio yoyote. Nikaona labda bahati yangu ipo JamiiForums.

Kwa hiyo wakuu mwenye connection tujuzane.

Shukrani.
 
Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu.Kama kichwa Cha Uzi kinavyojieleza ,natafuta ajira ya kufundisha shule au kuwa tutorial assistant Kwa masomo niliyotaja.Lazima nikiri nimeomba ajira za tamisemi Kwa miaka sita bila mafanikio yoyote .Nikaona labda bahati yangu ipo jamii forums.Kwa hiyo wakuu Kwa mwenye connection tujuzane.Shukrani
Turkiye Maarif Zanzibar.

We are urgent in need of the following subject teachers.

Chemistry.
Physics.
Biology.
Geography.
Mathematics.
 
Pole sana mkuu....inauma sana siku yako ipo.....

Ila nikwambiw kitu ukiendelea kuwaza ajira za ualimu utajichelewesha sana.......

Piga chini ualimu anzisha hustle zako mwenyewe ELIMU yako itumike kama ngao ya kukuvusha....

Kama upo dar es salaam ningeweza kuku empower Kwa skills na ukayaona maisha katika engo nyingine.........

Kwa walio soma education BA-ED history na Geography wakitegemea kuajiriwa WAMESHAPATWA NA ULEMAVU.....

Kuna miaka miwili nyuma niliwapa TAG madogo WAWILI walikua wamekonda wana dhiki kuu wakati nawasaidia mikono ilikua nyuma very humble....

Baada ya kushika pesa wakaanza kua na tamaa wakaanza kuiba Kwa ustad sana maana tuliwaamini so mwisho wasiku camera zikawanasa japo haikua direct ila zilileta sintofahamu........

Kufuatilia tukawa tuna loss ya 60M so hizi ishu ziliniletea zengwe na wale madogo walikua watu wangu so ikawa doubt japo tulifix

Sikuwai kujua kua wale madogo wanaweza fanya ule uchakalamu currently nimekua na roho ngumu kusaidia watu....

NB;

All in all sio watu wote wanaweza kukuangusha

Utapata mkuu do not worrying siku yako ipo hata kama itachelewa sanaa...
 
In

Piga chini ualimu anzisha hustle zako mwenyewe ELIMU yako itumike kama ngai ya kukuvusha....

InshaAllah kaka,nafanya ujasiriamali,ila mambo hayaendi Kama ninavyotaraji so nipo kwenye dilemma
 
Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu.

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza, natafuta ajira ya kufundisha shule au kuwa tutorial assistant kwa masomo niliyotaja. Lazima nikiri nimeomba ajira za TAMISEMI Kwa miaka sita bila mafanikio yoyote. Nikaona labda bahati yangu ipo JamiiForums.

Kwa hiyo wakuu mwenye connection tujuzane.

Shukrani.
Pole sanq mkuu miaka 6 mingi, umeplka barua private?? Upo tyr kilipwa shngap?
 
Pole sana mkuu....inauma sana siku yako ipo.....

Ila nikwambiw kitu ukiendelea kuwaza ajira za ualimu utajichelewesha sana.......

Piga chini ualimu anzisha hustle zako mwenyewe ELIMU yako itumike kama ngao ya kukuvusha....

Kama upo dar es salaam ningeweza kuku empower Kwa skills na ukayaona maisha katika engo nyingine.........

Kwa walio soma education BA-ED history na Geography wakitegemea kuajiriwa WAMESHAPATWA NA ULEMAVU.....

Kuna miaka miwili nyuma niliwapa TAG madogo WAWILI walikua wamekonda wana dhiki kuu wakati nawasaidia mikono ilikua nyuma very humble....

Baada ya kushika pesa wakaanza kua na tamaa wakaanza kuiba Kwa ustad sana maana tuliwaamini so mwisho wasiku camera zikawanasa japo haikua direct ila zilileta sintofahamu........

Kufuatilia tukawa tuna loss ya 60M so hizi ishu ziliniletea zengwe na wale madogo walikua watu wangu so ikawa doubt japo tulifix

Sikuwai kujua kua wale madogo wanaweza fanya ule uchakalamu currently nimekua na roho ngumu kusaidia watu....

NB;

All in all sio watu wote wanaweza kukuangusha

Utapata mkuu do not worrying siku yako ipo hata kama itachelewa sanaa...
Tatizo kubwa zaidi linaloikabili ulimwengu kwa sasa ni WATU KUKOSA UAMINIFU KATIKA MAISHA YAO..Hili ni janga kubwa sana kwa sasa duniani kote. Katika bara letu la Afrika janga hili ni kubwa zaidi kiasi cha kufikia kusa ni "KIYAMA", sisi watu siyo waaminifu kabisa, afadhali hata kidogo wenzetu wazungu.
Siyo kwamba Kazi hazipo kabisa. La hasha, kazi zipo Isipokuwa wenye kazi wanasita kutoa kazi kwa sababu hawamuoni mtu sahihi aliye mwaminifu wa kumpa kazi.
Nimpe tu pole mleta hoja, haya ni matunda na gharama za kukosa uaminifu miongoni mwa walimwengu.
 
Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu.

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza, natafuta ajira ya kufundisha shule au kuwa tutorial assistant kwa masomo niliyotaja. Lazima nikiri nimeomba ajira za TAMISEMI Kwa miaka sita bila mafanikio yoyote. Nikaona labda bahati yangu ipo JamiiForums.

Kwa hiyo wakuu mwenye connection tujuzane.

Shukrani.
0623789944 nicheki boss
 
Upo mkoa gani, kuna shule mwalimu wa geog math amept TAMISEMI,ila mshahara 400 kila ktu kwako, mbk juz walkua hawajpt mtu
Npo kwr
Tatizo kubwa zaidi linaloikabili ulimwengu kwa sasa ni WATU KUKOSA UAMINIFU KATIKA MAISHA YAO..Hili ni janga kubwa sana kwa sasa duniani kote. Katika bara letu la Afrika janga hili ni kubwa zaidi kiasi cha kufikia kusa ni "KIYAMA", sisi watu siyo waaminifu kabisa, afadhali hata kidogo wenzetu wazungu.
Siyo kwamba Kazi hazipo kabisa. La hasha, kazi zipo Isipokuwa wenye kazi wanasita kutoa kazi kwa sababu hawamuoni mtu sahihi aliye mwaminifu wa kumpa kazi.
Nimpe tu pole mleta hoja, haya ni matunda na gharama za kukosa uaminifu miongoni mwa walimweng

Tatizo kubwa zaidi linaloikabili ulimwengu kwa sasa ni WATU KUKOSA UAMINIFU KATIKA MAISHA YAO..Hili ni janga kubwa sana kwa sasa duniani kote. Katika bara letu la Afrika janga hili ni kubwa zaidi kiasi cha kufikia kusa ni "KIYAMA", sisi watu siyo waaminifu kabisa, afadhali hata kidogo wenzetu wazungu.
Siyo kwamba Kazi hazipo kabisa. La hasha, kazi zipo Isipokuwa wenye kazi wanasita kutoa kazi kwa sababu hawamuoni mtu sahihi aliye mwaminifu wa kumpa kazi.
Nimpe tu pole mleta hoja, haya ni matunda na gharama za kukosa uaminifu miongoni mwa walimwengu.
Kweli boss
 
Absolutely.
Uaminifu ni Mtaji mkubwa sana katika maisha ya binadamu yoyote yule, na kwa bahati mbaya sana watu wengi sana hawalitambui jambo hili.
Bad issue ni kwamba unakosa kuaminiwa pale panapofaa kuamini kisha unaaminiwa pasipofaa kuaminiwa, hio ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom