Natafuta kazi ya Graphics Design | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya Graphics Design

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Papa Mopao, Feb 20, 2010.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Jamani naombeni msaada wenu, mimi natafuta kazi ya graphics design, kazi nitakayoweza kufanya ni ya PART TIME,naipenda hii kazi na nina uzoefu nalo wa mwaka mmoja na nusu.Nina uwezo wa kutengeneza gazeti (page layouts),vitabu, magazine,logo designing,vipeperushi na matangazo mbalimbali.

  Yeyote mwenye kuweza kunipa taarifa ya nafasi ya kazi na kunipatia nitashukuru sana.

  Mungu awabariki.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Nakushauri u-showcase yale uliyofanya kwenye mambo ya graphics!! Waajiri watatathmini wenyewe. Unaweza kupiga au ku-scan picha na kuzi-upload hapahapa JF wajionee: http://pichaz.jamiiforums.com/ katika kuonesha ufundi na ubunifu wako.

  Kila la kheri ndugu!
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  nakushukuru sana Braza, nitafanya kama ulivyonishauri.

  Mungu akubariki sana.
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 8,371
  Likes Received: 1,956
  Trophy Points: 280
  Kaka jiunge na wenzako wanakuwa pale Stambuli Cafe millenium tower pale utawakuta manguli wa graphics wakifanya kazi zao binafsi na wana network ya kupata hizo kazi kibao so jitahidi kujongea kwenye hicho kijiwe,kunetwork ni muhimu katika issue yoyote
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,398
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Thanks very much,ntaifanyia kazi!
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Feb 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,235
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Angalia www.naombakazi.com kwenye ICT JOBS Kuna nafasi kama 4 za graphics jaribu nafasi yako
   
 7. K

  Kosmio Senior Member

  #7
  Feb 22, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ni pm kuna assignment nataka kukupa kama utaiweza.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...