chineke
Senior Member
- Jun 10, 2012
- 120
- 45
Habari, natafuta kazi au tender za graphics designing toka sehemu yoyote Tanzania na jirani. Nina uzoefua wa miaka 9 katika kazi na nahtaji kuongeza wigo wa soko langu! Nimejiajiri na nina kampuni yangu kihalali. Nina weza kufanya graphics za VISUAL kwa kutumia Adobe After Effects, Final Cut Pro. Pia naweza kufanya STILL Graphics kwa kutumia Adobe Illustrator, Photoshop, Adobe InDesign nk. Nina uwezo wa kuzifanya kazi hizo kwa ufasaha na pia naweza kumfuata mteja/kampuni pale alipo! Kwa yoyote anayeweza kuleta kazi/tender na ikafanyika kuna asilimia atapata kuanzia 10% - 20%, inategemea na tender yenyewe! napatikana kupitia www.bluesignics.com au info@bluesignics.com au no 0717771515/0782771515. Asanteni wote!:biggrin: