Mtaji ni nini???
Mtaji unaweza ukawa
1.Pesa
Au
2. Ujuzi
Au
3.Uzoefu
Au
4.Nguvu zako
(Mtaji wa masikini ni nguvu zake)
Au
5.Elimu
Au
6.Uaminifu
Au
7. Watu unaofahamiana nao
( Your networks)
Au
8. Vinginevyo
Mtaji sio pesa peke yake kama tunavyotafsiri wengi wetu
Binafsi nimeona baadhi ya watu wamefanikiwa kwa kutumia mitaji mingine tofauti na pesa, ila wametokea familia masikini sana
Sent using Jamii Forums mobile app