Natafuta Kazi Security Officer/ Supervisor

Natafuta Kazi Security Officer/ Supervisor

makandomende

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
82
Reaction score
43
Wadau, nina mimi ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka 2011, nina taaluma ya masuala ya ulinzi na usalama katika usimamizi (security officer/ supervisor). Nawasilisha kwenu hitaji langu. TAFADHALI KWA YEYOTE atakayeona au atakayekuwa na taarifa kuhusu ajira ya namna hii tafadhali ani- PM. Nipo kwenye uhitaji mkubwa sana.

Iwe kwenye ofisi yoyote binafsi, kampuni au shirika lakini isiwe makampuni ya ulinzi kwani huko nimefanya nao ninajua unyonyaji uliopo huko na manyanyaso pamoja na kukosekana kwa security ya mfanyakazi.
Nawsilisha kwenu wadaun nawashukuru
 
Niliomba ndugu yangu lakini dah....sina mjomab, shangazi, baba mkubwa na wengineo....
 
Ndugu yangu pole sana, hivi ulikosa taaluma zote mpaka ukasomea mambo ya unoko na kutembea na kifo mkononi.
 
Hapana mtaalam.
Nimesoma B.A ARTS (Political science/ Admin) lakini kabla ya hapo niliingia kwenye kozi kadha za masuala hayo. sasa kwakuwa changamoto zinazidi ndio maana nimetafuta alternative
Thanks
 
Pole sana,jalibu hii kazi kupitia Radar Recruitment, one of East Africa's leading recruitment agencies: Job Details
Security Liason



[TD="class: tabledescription"]Added on[/TD]
[TD="class: tablecontent"]16.01.2014[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Category[/TD]
[TD="class: tablecontent"]Human Resources, Customer Service[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Countries[/TD]
[TD="class: tablecontent"]Tanzania[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Cities[/TD]
[TD="class: tablecontent"]Mtwara[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Level[/TD]
[TD="class: tablecontent"]Middle[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Contract type[/TD]
[TD="class: tablecontent"]Contract[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Main Responsibilities[/TD]
[TD="class: tablecontent"]An Oil and Gas company looking for a Security Liason with the following key accontabilities:

  • support and provide security advice to the company security advisor and developmental activities in the field
  • deliver security briefings for visitors, international and national employees
  • managing security guard force and the delivery of security support in difficult and sometimes insecure environments
  • able to live in remote camp locations and provide field level security co-ordination with local and regional stakeholders as required
[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Qualifications[/TD]
[TD="class: tablecontent"]formally trained and experienced in security operations and intergrated crisis managemnt[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Requirements[/TD]
[TD="class: tablecontent"]
  • excellent verbal and written English and Swahili language skills
  • ability to interact with foreign nationals, sensitive to local customs and cultures
  • a forward thinker, able to analyse problems and propose solutions
  • organisational and change management skills
  • people and team management skills
  • relationship building and influencing skills
[/TD]

[TD="class: tabledescription"]IT Skills[/TD]
[TD="class: tablecontent"]proficient IT skills[/TD]

[TD="class: tabledescription"]Experience[/TD]
[TD="class: tablecontent"]
  • being an expert in security matters will be a significant resource
  • security planning, coordination and management experience working at tactical levels- preferebly gained in police /contract security/armed forces in mid level leadership appointments
  • experience of day-to-day security guard force managemnt, ideally in the national arena, and in executing emergency response, contigency and crisis managemnt plans and procedures
  • experience of working in Tanzania with an understanding of the east Africa culture and history of region
[/TD]
 
poa mkuu,ila security officer vipaumbele wanapewa polisi graduate hasa hawa walisomea shahada ya usimamizi wa sheria na mambo ya usalama (Bachelor of Law Enforcement) only at Udsm EA nzima,usikate tamaa utafanikiwa
 
Wadau, nina mimi ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka 2011, nina taaluma ya masuala ya ulinzi na usalama katika usimamizi (security officer/ supervisor). Nawasilisha kwenu hitaji langu. TAFADHALI KWA YEYOTE atakayeona au atakayekuwa na taarifa kuhusu ajira ya namna hii tafadhali ani- PM. Nipo kwenye uhitaji mkubwa sana.

Iwe kwenye ofisi yoyote binafsi, kampuni au shirika lakini isiwe makampuni ya ulinzi kwani huko nimefanya nao ninajua unyonyaji uliopo huko na manyanyaso pamoja na kukosekana kwa security ya mfanyakazi.
Nawsilisha kwenu wadaun nawashukuru
SECURITY OFFICER II
Qfn:Holder of a degree in Security Services
Apply:MANAGING DIRECTOR,TPDC,
P.O.BOX 2774,Dsm
Deadline:14/2/2014
AJIRA ZETU
 
Back
Top Bottom