Broo zanzibar sehem gan naitaj mchongo uko pia wa kaziMkuu ikikupendeza nenda Zanzibar mishe zipo zakutosha
Zanzibar sehemu nyingi kuna mishe za ujenzi, uwezi kulala njaa ni wewe na nguvu zako tuBroo zanzibar sehem gan naitaj mchongo uko pia wa kazi
Poapoa brooZanzibar sehemu nyingi kuna mishe za ujenzi, uwezi kulala njaa ni wewe na nguvu zako tu
Kazi unapataje?Broo zanzibar sehem gan naitaj mchongo uko pia wa kazi
Uspokee kila ushauri wengine vidole vinawasha tu kucoment kila anachoonaPoapoa broo
Ila sina mwenyej huko ndugu
Aisee! Sawa mkuu nashukuruUspokee kila ushauri wengine vidole vinawasha tu kucoment kila anachoona
Mkuu hivi unafahami maana ya mbupu tupu?Jaribu kufanya agribusiness mkuu
DM au hiyo namba yako unatumia whatsapp?Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira
Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
Mtaji anao!!?Jaribu kufanya agribusiness mkuu
Labda Kama ni kobazi mwenzao,kobazi wabaguzi sanaZanzibar sehemu nyingi kuna mishe za ujenzi, uwezi kulala njaa ni wewe na nguvu zako tu
Kuna project tumewaoa CRJE kama unajua office zao zilipo nenda kaumbe kaziKazi unapataje?